LYRICS: Bonge La Bwana Remix By Sis P Ft Barnaba

03/11/2015

Artist: Sis P and Barnaba
Song: Bonge La Bwana Remix

Language: Kiswahili
Label: A Million Records

Verse 1 
Ushanifanya nikalia
Ukaniudhi mara mia,
Mangumi ukanipiga,
Yote nikavumilia,
Moyo wangu si wa chuma,
Moyoni naumia,
Nimeshindwa vumilia, aah*2

CHORUS:
Nimepataa
sasa mwenzio minasonga
mbele,
Nimepataa
Anayenipa mapenzi tele
Nimepataa
Anaejua thamani yangu kweli
Nimepataa, aah
BONGE LA BWANA.

Verse2;
Baby tuliza moyo,
Mi sina choyo,
Vibogoyo,
Hawawezi tafuna mfupa wangu
Hawawezi tafuna nyama yangu
Ruhsa baby kunichuna,
Tazama wananuna,
mie sgamba vuna, baby.
Ukiwa nami waweza kujivuna
Ringa baby ooh,
Doroguchi
Sikupigi kibuti*2

CHORUS
V3 Mie ngalawa,
Wewe nanga,
Moyo nakupa wewe,
Mabosi na vibopa,
wenye tai zao,
Ila nakupa weweee,

Naringaga nawewe wangu kichuna,
Hofu mi sina,
Tunda langu,AHA
Naringa mama wanipenda,
Namimi nakupenda
Sis P my love..
CHORUS 
Download and Listen to it here
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com