LYRICS: Bembea By Ali B



03/12/2015
 Song: Bembea

Artist: Ali B
Language: Swahili
Label: SQ Records



Ouoooh mmmh
Tunabembeaaa,
Amz wa leo
Kwangu kipenzi nakuona kama zawadi
Nami mpenzi, kukupenda sina budi
Achana nao wenye roho za kigaidi
Ni wabaya hao, hawapendi tufaidi yee
Hao ni fake, tena fake mapaparazzi
Hawatunyimi sisi, hawatunyimi usingizi

Chorus
Sisi tuna  ----------- Bembeaaa bembeaa
Wao wana--------- Ongeaaa Ongeaaa
Sisi tuna  ----------- Bembeaaa bembeaa
Wao wana--------- Ongeaaa Ongeaaa

Verse 2
Maneno maneno ya fitina
Kwenye facebook wala twitter
Wanadhani sisi tutateta, haja yao kututenganisha
Hawajui mimi Romeo nawe ni wangu Juliet
Penzi letu la kileo tena lenye ladha ya chocolate
Songea karibu kichuna wangu
Tuzile zabibu mpenzi wangu
Songea karibu kichuna wangu
Tuzile zabibu mpenzi wangu

Chorus
Sisi tuna  ----------- Bembeaaa bembeaa
Wao wana--------- Ongeaaa Ongeaaa mamaa
Sisi tuna  ----------- Bembeaaa bembeaa mamamaaa
Wao wana--------- Ongeaaa Ongeaaa

Verse 3
Sikia utamu wa ziki la nazi
Maneno maneno ya fitina
Kwenye facebook mara twitter
Wanadhani sisi tutateta, haja yao kututenganisha
Songea karibu kichuna wangu
Tuzile zabibu mpenzi wangu

Chorus
Sisi tuna  ----------- Bembeaaa bembeaa
Wao wana--------- Ongeaaa Ongeaaa --mamaa
Sisi tuna  ----------- Bembeaaa bembeaa ---mamamaaa
Wao wana--------- Ongeaaa Ongeaaa X2

Ali B Beyby
Bembeaaa, Ongeaaa Bembeaaa Ongeaaa


Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com