LYRICS: Mahabuba By Mswazi Masauti

03/12/2015

  Song: Mahabuba
Artist: Mswazi Masauti
Language: Swahili
Label: SwaRnB

Namshukuru Mola Manani
Alokuleta duniani
Na Pia washukuru wazazi walivyokuleaaa
Wako wengi walokutamani wasotaka kukuoaaa
Lakini ukajitenga kimwari na zao fikra hukutekwa
Mambo mengi walishaongea ati wewe hunifaiii
Na majina wakakupatia ati kicheche mtaa
Kwani mimi ndiye nimetambua kwangu baby we ni nani
Maneno yao hayatatutishiaaa
Kwangu beibe umefikaaa

Chorus
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
Nakupenda Sanaa aaaa  aaaa  aaaaa  aaaa  aaaa

Verse 2
Mashallah umeumbwa, tena ukaumbikaa
Sura yenye kung’araa, wallahi wapendeza
Na mapenzi wayajua, kupeti peti mamaaa
Manukato ya kilua, wanukiaa mamaaa
Kwa kweli nimepata, mpenzi asaliii
Siishi kujiramba, mwangu viganjani
Na wala kwako sitatoka, nitatulia wangu mamaa
Unibembelezee, unidekezeee
Na wala kwako sitatoka, nitatulia wangu mamaa
Unibembelezeeee

Chorus
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
Nakupenda Sanaa

Wacha wasemeee __ wacha waseme ni wewe, Moyo umechagua mwenyewe
Wacha waseme ni wewe hao wacha waone gere
__ wacha waseme ni wewe, Moyo umechagua mwenyewe
Wacha waseme ni wewe hao wacha waone gere

Chorus
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu Mahabu mahabu mahabuba
Nakupenda Sanaa   x3

Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com