LYRICS:Kichwa Kibovu by Cannibal and Sharama

29/10/2015
Artist: Cannibal and Sharama
Song: Kichwa Kibovu

Language: Kiswahili

Intro (Cannibal)

yeah
ipo shida
skia wazim wa kisanaa
Majit fanya maji

Chorus (Cannibal)
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
natema juu ya microphone sura mbov
hiki ni kilio
juu ya instrumental
kwenye studio
kuna ku-rise na ku-fall

Cannibal ndio mimi kichwa kibov
natema juu ya microphone sura mbov
hiki ni kilio
juu ya instrumental
kwenye studio
kuna ku-rise na ku-fall

Verse 1 (Cannibal)
uchungu mi naskia mi na-cry oh my
kwenye microphone nafoka till I die why lie
my destiny
what is best for me
prophecy ishanikamata tell me what's the deal
kwa mashujaa
Cannibal ni emperor
kwa hii sanaa
elimisha vijana
example wa Kamlesh nafuata msafara
MCs
nightmare mi ndio horror...

Chorus (Cannibal)
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
natema juu ya microphone sura mbov
hiki ni kilio
juu ya instrumental
kwenye studio
kuna ku-rise na ku-fall

Cannibal ndio mimi kichwa kibov
natema juu ya microphone sura mbov
hiki ni kilio
juu ya instrumental
kwenye studio
kuna ku-rise na ku-fall

Verse 2 (Sharama)
upuzi ndio kazi
naji-cover na kipaji
maskini chaudhi
napiga muudhi
wa U.K.O.O
Flani
mwana adhamu
keti kalamu
natema mistari kwa mwendo wa kasi
nasonga ka farasi
MCs shipavu
navunja masenge bavu
staki upumbavu
sura mbaya
kuja paya
vichwa vigum
mavusha ndum
sura mbov
ulikebo
msanii
shika karatasi na kalamu
toka jasho la damu
unajipima damu kutoa salamu
drop ma-bomb ka Sadaam...
makavi na MC...
Sharama mukoye

Chorus (Cannibal)
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
natema juu ya microphone sura mbov
hiki ni kilio
juu ya instrumental
kwenye studio
kuna ku-rise na ku-fall

Cannibal ndio mimi kichwa kibov
natema juu ya microphone sura mbov
hiki ni kilio
juu ya instrumental
kwenye studio
kuna ku-rise na ku-fall

Verse 3
(Cannibal)
shatta man napigania
mziki ni mradhia
hanijali ya
Mola nionyeshe njia
MCs bandia anzeni kukimbia
mapati ushazalia
(Sharama)
panda kama unataka kwenye floor
manjo nivyo
bli bli blo
nakukata hivyo

Chorus (Cannibal)
Cannibal ndio mimi kichwa kibov
natema juu ya microphone sura mbov
hiki ni kilio
juu ya instrumental
kwenye studio
kuna ku-rise na ku-fall

Cannibal ndio mimi kichwa kibov
natema juu ya microphone sura mbov
hiki ni kilio
juu ya instrumental
kwenye studio
 kuna ku-rise na ku-fall
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com