Nyota Ndogo Replies Those Who Questioned Whether She Helps The Under Privileged.

17/11/2015

Nyota Ndogo's video went viral yesterday in which she branded Corporates And Celebrities As Hypocrites for Mishandling Conjestina.
Some people however asked what part has the Watu na Viatu hit maker played in helping those in a similar situation like Conje.
In her reply, Nyota said that she is actually involved in many charity programs in which she helps orphaned children.

WATU WALIOULIZA YEYE NYOTA KAFANYA NINI KWAO MOMBASA NDIO AMTETE CONJE? Wengi wanafikiria kusaidia nikutoa mamilioni ya hela kutoka mfukoni mwako.sina uwezo huo but kile kidogo uwa ninacho mimi ushea.NATUMAI MPO SALAMA..kwanza kabisa kwetu mombasa nimejiusisha na mambo mangi na kujituma.sijui kama unajua uwa nashuhulikia watoto yatima kutoka nyumba tafauti mombasa hadi voi.utoa nguo zangu mwenyewe ama za watoto wangu ama naomba watu fb kuchangiA kutuma nguo ili zipewe watoto hao.nafikiria kwa watu wamombasa wanaonifatilia vizuri wanajua.nimetoka kwa maisha ya shida nikiwa mdogo hivyo unikumbusha mbali napoona watu wakipata tabu.kila skuku ya idd mimi ula na mayatima nitaitisha mchango fb wasipotoa nitajikaza nitawalisha mwenyewe.nimeshawai kuchanga pesa fb nikafikisha elfu 60 nikanunua chakula nikalisha nyumba sita za watoto mayatima.nasaidiwa sana na watu wa fb kusaidia watoto hawa.nimeshawai kununua vitabu vya shule kwa watoto na pesa yangu mwenyewe.kwaivyo navyosema haya fb nikua najua watu wa fb usaidia na wanaonifatilia wanajua uwa naomba misaada kuwasaidiA watoto wale na wakifurai sio mimi nimewafuraisha uwa ni mimi na marafiki zangu wa fb.sijui kama nimekuridhisha.SIJITANGAZI KWAKUA UWA SISAIDII PEKEANGU NAONYESHA TU KUA PAKIWA NA SHIDA MAHALI SIONIHAYA KUOMBA MSAADA FB NA WATU UTOA
A photo posted by nyota ndogo (@nyota_ndogo) on
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com