
Recently I wrote about Mitaa ya Kisauni's Dis track which Mitaa ya kisauni said is not meant for anybody. Today some artists showed their reactions on facebook about the dis track
.
Diss sio fresh na hta ukidis mtu ndo nini haijazi wala haikupi ukali au ufame siku hzi mashabiki wamegundua kua ni utoto mtu unamsumbua.
Diss haijengi na hatuezi sema ile yao ni commercial kabisaa...wanadiss ile wajibiwe wajulikane...inagasii..!!
Haileti shangwe utoto na ujinga halaf wanataka waskike wenyewe pia me siwatambui watafute usaidiz vp wanaeza toka bt c kudiz mastaa Mtwapa hao ha2watambui Shanixoma.
KUDISS MSANII MWEZA NI KUISHIWA NA SANAA AMA KUMTUMIA ILI KUJULIKANA...,POLE SANA KWA WASANII KAMA HAO
Anayedis ameogopa mchafuzi endlea kaka usirudi nyuma
Now you got it........