LYRICS: HAYANA MJUZI By Dogo Richy

27/06/2014
DOGO RICHIE - MAPENZI HAYANA MJUZI Lyrics
Yeeeeaaahh
Oooooohhh
hayana mjuzi
Yeeeeaaahh
Oooooohhh
Aaah Ndivyo yalivyo hayana mjuzi
Sivyo yalivyo …. Eh bwana Eeeeh
VERSE 1
Wanasema mapenzi maji ya moto ukicheza yatakuunguza,
Wako wengi wamepitia changamoto za mapenzi tukawapoteza,
Yeaah anakwambia I love, you kumbe moyoni hupo ndani
Eti baby I miss you, kumbe mwenzako kifuani
Anakwambia I love you, kumbe moyoni hupo ndani
Eti baby I miss you, kumbe mwenzako yuko ndani
Kumbe unaempendaga, hajakupendaga
Na anaye mpendaga, hajampendaga … Aaah
CHORUS
Mapenzi bwana, Ndivyo yalivyo, hayana mjuzi
Mapenzi kwanza, Sivyo yalivyo, kuwa tayari kuwa soo
Mapenzi bwana, Ndivyo yalivyo, kumbe hayana mjuzi
Sivyo yalivyo, kuwa tayari kuwa soo
VERSE 2
Mapenzi hebu tangulia, ushatawala dunia
Aaah Nani hajalia, Eeeeh Aaah
Umewakata wengi nia, na wakadidimia
Aaah hebu tulia, Aaah kwani huchoki umizaa
Mara unaempendaga, hajakupendaga
Na anaye mpendaga, hajampendaga
Mara unaempendaga, hajakupendaga
Na anaye mpendaga, huyo huyo anamzengua
CHORUS
Mapenzi bwana, Ndivyo yalivyo, hayana mjuzi
Mapenzi kwanza, Sivyo yalivyo, kuwa tayari kuwa soo
Mapenzi bwana, Ndivyo yalivyo, kumbe hayana mjuzi Aaah
Sivyo yalivyo, kuwa tayari kuwa soo
VERSE 3
Ukipenda ukate Kumbe (ndivyo yalivyo)
Yatakupeleka mbali kumbe (ndivyo yalivyo)
Utaona umefika sana Kumbe (ndivyo yalivyo)
Ukiwaachwa mataani bwana (ndivyo yalivyo)
Ukisema hutapenda tena (ndivyo yalivyo)
Kwa maumbile na hisia bwana (ndivyo yalivyo)
Yashapoteza wengi sana tena (ndivyo yalivyo)
Wenye mapeni na wasio nayo (ndivyo yalivyo Oooh)
Yeeah (nimechoka kutafta mapenzi kila siku)
Oooh (itabid nirudi kwa wazazi niuulize ni vipi)
Yeeahh (wali’maintain mapenzi vipi mpaka tukakua)
Oooh (sisi wanawao na mimi nkipata mpenzi basi niishi vipi Oooh)
Yeeah haya mjuzi
Ooooh haya mjuzi
Yeeah haya mjuzi sana
Papa Emmy haya mjuzi
Emmy Nmechoka bwana


Listen to the song here
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com