12/12/2013
Some Kenyans from the coast have reacted to the issue that Dogo Richy highlighted. Dogo Richy was wondering why more than 20 Nairobi artists were chosen to perform at the Kenya at 50 celebrations and only one from the coast.
These are some of the reactions from the coasterians:
si dogo pekee ata mimi sijapendezwa
sini walisema ati pwani si ke*** nway si sawa
Walisema pwani si kenya ndio maana akachaguliwa mmoja
Sikupendezwa hata kidogo.Waacheeni Kenya yao.
si rich peke yake miamia sijapenda
Mnaosema sababu ya kutengwa kwa wasanii wa Pwani ati ni kuwa wapwani tulisema PWANI SI KENYA.Hiyo si sababu.