Reactions by Kenyans Over The Controversial Nzumari Awards

16/10/2013
Kenyans have reacted to the controversial Nzumari Awards 2013.
The awards has been characterized by Two nominees withdrawing. Kidis the Jembe and supposedly Susumila are out it.
Now Kenyans have given various reactions to this on social media.
Here are samples:

Kwa kweli wasanii we2 wa pwani wamegundua kwamba hiyo #NZUMARI_AWARDS Haina issue coz ni faida kwa wengine nawapa #SHAVU

Me nasuport SUSUMILA na KIDIS kujitoa coz NZUMARI nikama inaubaguzi fulani.

Mimi ningependa kujua hili tuzo ni la mbsa au kenya nzima?

Hizi tuzo kuna vile hua n za ubaguzi n kuna vile zinawaregesha wasanii wetu w pwani nyuma,msanii tunayemjua itakuaje awekwe kwa category y upcoming

Hii ndiyo kauli yangu.Mwanzo nataka kusema sina chuki na waandalizi wa tuzo hili.Kwa kweli kuwa na tuzo hili ni vyema lakini kwa sasa tuzo za Nzumari ziko na kejeli na mzaha.Kwa mfano nimeona Mwanamziki Shaa big akiwekwa fungu la upcoming artist.Huyu bwana amepeta kwa fani sasa kwa muda wa miaka mitano.Kila uendapo kila mmoja amfahamu.Iweje awe upcoming? So tuzo hizi zinamapendeleo sana.Coz hata category hio sitashangaa Shabig akikosa tuzo watapewa wengine.To me Nzumari its a big joke.

wateva grandpa did was proffesional and i agree with them. Hii mbsa yetu sijui atakaye ibadilisha ni nani, coz the stakeholders of the industry themselves are selfish n very selfcentered. We niambie tutafika wapi ata kama tuna miziki mizuri sana.?? Kama mambo ni haya!


These are opinions given by Kenyans on what they feel about this awards and the withdrawal of Kidis and Susumila.
Cityville Mombasa is not part of them.
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com