Susumila Defends Radio Presenters over The Bribe Allegations.

20/08/2013
 Susumila Yusuf has come out to defend the allegations that had  been put on Radio presenters. Many upcoming artists claimed early last month that radio presenters in the coast take bribes to airplay their songs. Susumila has a different opinion about this.
This is what he had to say:
"Kama kuna mahali pagumu kusaidika kama msanii ni coast sababu wengi wetu hatufikirii,tunapenda kujijazia vitu,mimi personally hakuna hata presenter mmoja aliekataa kucheza track yangu sababu yakutompa,wasanii ni wengi lakini wenye kutoa ngoma za nguvu ni wachache,usiskize ngoma yako na rafiki zako alafu wakakuambia iko juu ukaipeleka redio ispochezwa ukaanza kulaumu,ukweli ni kwamba wengi wetu tunaimba upuzi lakini rafiki zetu hawataki kutuambia ukweli,yani saa zingine naona kama tunawavunja moyo wanaotusaidia,minaamini hakuna presenter anaeza kataa kucheza ngoma kali na naamini kali ni kali isipochezwa kwa redio still mitaani itapeta so kama umetoa ngoma redioni haichezwi na katika promo zako hata huiskii hata kwa matatu wala kwa bodaboda wala disco vumbi jst knw ngoma yako iko down,wacha kulaumu rudi studio angalia ulikosea wappi rekebisha achilia pini jingine"
Take the advice he has given and I suppose you will succeed{upcoming artists}.
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com