Njoo Kwangu Baibe by Susumila Lyrics

Artist: Susumila
Song: Njoo Kwangu Baibe
Record Label: Green House Records
Watch it here on Youtube

Chorus
njoo kwangu baibe
nikupe unachotaka
njoo kwangu baibe
oh yeah (njoo kwangu baibe)
njoo kwangu lady
nikupe unachotaka
njoo kwangu baibe
oh yeah (njoo kwangu baibe)
Verse 1
kutoka tu zamani, mi nakuwaza
njoo baby, njoo baby, njoo sasa
njoo nikupakate, njoo nikupapase
wacha ma-story, kwanza nipe mate
nikikutazama kila unaposimama
natamani sana tuwe baba na mama
maneno yatatosha tu kusema nakupenda
kwanza acha ice cream nataka nikupe tender
napungika sana, dada tamu mdomoni
unaniacha hoi, ukivaa ki-mini
wewe ni msupa, amini usiamini
umeumbika, juu mpaka chini
njoo niwe king, wewe uwe queen
ukiniacha nitameza chloroquin
oh my my, mi naku-feel
sio propaganda kuku-marry I will
Chorus
njoo kwangu baibe
nikupe unachotaka
njoo kwangu baibe
oh yeah (njoo kwangu baibe)
njoo kwangu lady
nikupe unachotaka
njoo kwangu baibe
oh yeah (njoo kwangu baibe)
Verse 2
sehemu unachotaka
chochote mi ntakupa
njoo tuwe wote kila kitu iwe super
mi ndio gals dem sugar
kama Beenie Man
mi ni bad man
sio chichi man
wee original wale wote photocopy
njoo uni-kiss hata kama hawataki
wacha mapozi, lete hizo lips
wacha niku-show, nikushike hizo hips
lips zako tamu
kama ndimu mdomoni
unanichanganya
nashangaa kiunoni
ondoa wasi wasi I will work you all night
niku-loosen hata kama uko tight
mimi ndio doctor, ondoa zako stress
mwili wako, wote niu-caress
kuta vitu kila place
mpaka kwenye couch
nikufanye we ukam mpaka upoteze sauti
Chorus
njoo kwangu baibe
nikupe unachotaka
njoo kwangu baibe
oh yeah (njoo kwangu baibe)
njoo kwangu lady
nikupe unachotaka
njoo kwangu baibe
oh yeah (njoo kwangu baibe)
namsugua (msugue)
namsugua (msugue)
namsugua (msugue)
namsugua (msugue)
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com