30/05/2014
Today in the morning Nyota ndogo wrote on her facebook account advising fellow artists on using a band to perform. She is in a band and wanted to share out the good experience she has had in it. She however attacked bloggers a bit for the comparisons they make of artists over their beauty and not what they can give their fans.
From another perspective it really looks that for an artist to get fruits of one’s work, he needs a band. Samora Donde of Pili pili fm had written something similar to Nyota’s yesterday.
Look at what they Had written.
Nyota Ndogo
leo ningependa kuongea na wasanii wote wa mombasani.mziki sio urembo ama mavazi ama kujiweka uchi.ningetaka niwaambie kitu.mziki ni sauti na utunzi maana kama ingekua mziki ni sura wengi wetu tusingetoboa.na wanaoitwa warembo siku mbili na kipande wanapotea kisanaa maana warembo wanazaliwa kila siku.nachukizwa sana kuona mablog yakiwatoshanish a eti yupi msanii mrembo kati ya hawa hapa.inajenga nini ukiwa mrembo na auna kitu cha kuwapa mashabiki?blog watafute njia ya kupata story na kujua nini wasanii wao wanafanya.sio kutoshanisha wasani maproduza hii inaleta chuki na matusi.sasa mashabiki wakianza kutukanana ndio raha yenu mablog?TWAJIANG USHA WENYEWE.hebu tutafute topic zakujenga na sio unafiki.NINGEOM BA WASANII WAJIFUNZE KUIMBA NA BAND.IKIWA KUNA BAND KARIBU NA WAWEWE JARIBU MUFANYE MAZOEZI INASAIDIA SANA KIUIMBAJI.JISUM BUENI AKILI KWA UZURI KUTAKA KUJUA ZAIDI.KUIMBA NA BAND KUMENISAIDIA SANA.KULE MZIKI UNAPOKWENDA ITAFIKA MAHALI KAMA HHUJUI KUIMBA NA BAND HAUPATI KAZI NZURI.MASHABIKI WANATUFATILIA SANA
Donde Samora
Wasaniii!!!...M ambo Yamechange Jamaa!!...mtind o Wa Kileo,Kidigital i,kisasa...ni burudani la Bendi...dah!!Si ku Hizi Wasanii Wakuruka Ruka Stage Huku Wakishika Sehemu Nyeti Wakijigamba Vile Wanapesa,Madem na Vile Wao Hunywa Pombe Usiku Na Mchana Zimeisha!!..Heb u Angalia Wasanii Waliolikwa Kwenye Hafla Ya Maombi Ya Kitaifa Safari Park Hotel leo Kuwatumbiza Waalikwa Akiwemeo Rais Uhuru Kenyatta....Je Hali Hii Inatufundisha Nini??