There must be a real problem here. It doesn't pass a week before a hip hop artist complains of how entertainment stakeholders in Mombasa do not give them a fair play.
The latest for now to air his bitter end is Kassamoney.
The Hip Hop Thugz Day hit maker wrote yesterday a very bitter message to all the promoters, djs, radio presenters etc.
I will not translate for those who do not understand, but this is what he wrote:
INDUSTRY YA COAST NAONA IMEANZA KUCHAPA
YANI IMECHOKA VIBAYA
WASANII WANAKOSA SUPPORT YA KISAWA SAWA
MARA STATION ZENGINE ZIKICHEZA KIZAZI KIPYA NI MALAVIDAVI TU
MAPRESENTOR WANAONYESHA WASANII MAPOZI EMAILS MWANYIMANA HAYA ZITIENI MIKUNDUNI
WENGINE HUKUPA KUKATA STORY UKITUMANA MANGOMA HAWACHEZI
MA BLOGGER PIA KUMANINA ZENU KAZI KUANDIKA 2 UPUZI
BADALA KUANDIKA VI2 VYA MAANA
MAPROMOTOR KUMANINA ZENU
KAZI KUWATUMIA WASANII WA PWANI NA HAMWAFIKISHI KOKOTE WALA HAMWAPI CHOCHOTE CHA KUJIVUNIA
WASANII WANAKUJA NA KUACHIA GAME NJIANI
MA DJ NAO PIA NDO HAO MAEMBE YA MASALA
MAPRODUCER WENGINE NAO KAZI KUTAKE CHANCES KWA MADEM WASANII
MCSK KAZI KUPEA PESA WASANI WA MAJINA MAKUBWA
MAJINA MAKUBWA?? Hao ndo akina nani?? HATA HAWAJULIKANI TU KAMA SISI
HAWAJUI HAO WASANII NDO WALE WAKURECORD BURE KUMSTRESS PRODUCER NA HAYO MAJINA YAO MAKUBWA ALAFU HELA ZA MZIKI HAO NDO WANAKULA
PRESANTOR UKIMPIGIA SIMU YUASHIKA VIZURI BT PINDI AKISKIA TU MI NI MSANII anaswitch On MAPOZI
MWATAKA INDUSTRY IENDELEE IVI IVI
ETI MTINDO WA KUMAKE IT LAZMA TUANGUKIE MAMADHA NDO 2KIPIGA SIMU MWAJUA KWANUKIA HELA?
MAPRESANTOR MADEM NAO MARINGO
UKIWAPIGIA SIMU AMA KUWATEXT
WANA AKILI CHAFU
WANAFIKIRI TUTAWATONGOZA
MBONA WATOTO WAPO KIBAO
KUJIFANYA MTAJIFANYA SANA BT KUMBUKA
KINYUMBANI MNA MASHIDA HATA KUTULIKO
#UPUZI_NDO_ULIPIWA_PROMO
HUWA NAWACHEKI TU
na ewe UNAE PIGA MAESABU YAKUKOMENT HAPA eti na Si Uende Nairobi?
HUJANIAJIRI KWA IVO TRANSFAR MPE MBOCH WENU