28/10/2015
Artist: Shembwana Masauti
Song: Uko Mbali
Year: 2013
Language: Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Kimawazo,nakutafuta pale ulipo maa,
Sijakata tamaa,
Kwani,I wanna be with u,
Be with u,
By ur side,baby
Umenijaza uhuzuni, Nakutafuta wee my cherrie,
Niko so lonely,Come uwe nami,
Unitoe huzuni,baby
CHORUS
Uko mbali nakutafuta,
Tamaa yangu haijakatika,baby
Wee unanifaa,Niko ridho,siku kucha
Aaaaah, siku kucha
Ooooh, siku kucha,
Aaaah, siku kucha
Niko ridho siku kucha
Aaaaah, siku kucha
Ooooh, siku kucha,
Aaaah, siku kucha
Niko ridho siku kucha
VERSE 2 LYRICS:
Wanasema subira,yavuta heri mamaa,
Na mimi nasubiri, Mpaka utakapo rudi,
Na wala sitachoka cherrie,Mimi nakungojea,
Na wala sitosinywa, mpaka nione yako sura
Kwani dhamira yangu, si kuwa mbali na wee,
Na wee,baby
Lengo langu mimi, ni kuwa karibu na wee,
Na wee,baby
CHORUS LYRICS:
Uko mbali nakutafuta,
Tamaa yangu haijakatika,baby
Wee unanifaa,Niko ridho,siku kucha
Aaaaah, siku kucha
Ooooh, siku kucha,
Aaaah, siku kucha
Niko ridho siku kucha
Aaaaah, siku kucha
Ooooh, siku kucha,
Aaaah, siku kucha
Niko ridho siku kucha
VERSE 3 LYRICS:
uko mbali,so far away
far away,baby far away
uko mbali,so far away
so far away,
uko mbali,so far away
so far away,hey
so far away,
uko mbali (uko mbali),so far away
hey,oooh
uko mbali(hey), so far away
far away, far away baby
uko mbali,so far away
mia more
uko mbali,so far away
so far away, so far away baby
uko mbali,so far away babe
Artist: Shembwana Masauti
Song: Uko Mbali
Year: 2013
Language: Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Kimawazo,nakutafuta pale ulipo maa,
Sijakata tamaa,
Kwani,I wanna be with u,
Be with u,
By ur side,baby
Umenijaza uhuzuni, Nakutafuta wee my cherrie,
Niko so lonely,Come uwe nami,
Unitoe huzuni,baby
CHORUS
Uko mbali nakutafuta,
Tamaa yangu haijakatika,baby
Wee unanifaa,Niko ridho,siku kucha
Aaaaah, siku kucha
Ooooh, siku kucha,
Aaaah, siku kucha
Niko ridho siku kucha
Aaaaah, siku kucha
Ooooh, siku kucha,
Aaaah, siku kucha
Niko ridho siku kucha
VERSE 2 LYRICS:
Wanasema subira,yavuta heri mamaa,
Na mimi nasubiri, Mpaka utakapo rudi,
Na wala sitachoka cherrie,Mimi nakungojea,
Na wala sitosinywa, mpaka nione yako sura
Kwani dhamira yangu, si kuwa mbali na wee,
Na wee,baby
Lengo langu mimi, ni kuwa karibu na wee,
Na wee,baby
CHORUS LYRICS:
Uko mbali nakutafuta,
Tamaa yangu haijakatika,baby
Wee unanifaa,Niko ridho,siku kucha
Aaaaah, siku kucha
Ooooh, siku kucha,
Aaaah, siku kucha
Niko ridho siku kucha
Aaaaah, siku kucha
Ooooh, siku kucha,
Aaaah, siku kucha
Niko ridho siku kucha
VERSE 3 LYRICS:
uko mbali,so far away
far away,baby far away
uko mbali,so far away
so far away,
uko mbali,so far away
so far away,hey
so far away,
uko mbali (uko mbali),so far away
hey,oooh
uko mbali(hey), so far away
far away, far away baby
uko mbali,so far away
mia more
uko mbali,so far away
so far away, so far away baby
uko mbali,so far away babe