Chikuzee lyrics-Si vibaya kujuana

Artiste: Chikuzee
Song: Si vibaya kujuana
Year: 2012
Language: Kiswahili
INTRO:
Si vibaya minawe kujuana,
Uuuuoooooiiiiiiii,
EeeehhEeeeeeeeee eeeeh Eeeh Eeeh Eeeh
VERSE 1 LYRICS:
Leo ndio siku ya kwanza ,
Natokea jiji la Mombasa,
Nakutana na dem kipusa,
Ile mitaa ya posta,
Naye kweli akaniita,
Basi pale sikusitaa,
Nikaitika, nika mfuata,
Naye akaanza kuringaa,
Leo ndio siku ya kwanza,
Natokea jiji la Mombasa,
Nakutana na dem kipusa,
Ile mitaa ya posta,
Naye kweli akaniita,
Nami pale sikusitaa,
Nikaitika nikamfuata,
Naye akaanza kuringaaa,
CHORUS LYRICS:
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,
VERSE 2 LYRICS:
Nilimuuliza unaitwa nani,
Basi pale akaanza kucheka,
Nakichwa akitingisha,
Akiondoka anaviringisha,
Nilimuuliza unaitwa nani,
Basi pale akaanza kucheka,
Nakichwa akitingisha,
Akiondoka anaviringishaaaa,
Ooooh baby, ooooh lady,
Si vibaya minawe kujuana,
Ooooh baby, ooooh lady,
Mi naomba namba za simu tubadilishaneee,
CHORUS LYRICS:
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,
VERSE 3 LYRICS:
Nilijaribu kumuulizia,
Kama yule dem wanamjua,
Wakasema wanamtambua,
Anafanya kazi nyuma ya posta,
Leo ndio siku ya kwanza,
Natokea jiji la Mombasa,
Vitongoji sivijui,
Niliwauliza ntampata vipi
Milima na milima haikutani,
Lakini binadamu hukutana,
Leo mi nina hamu,
Nilazima tukutane,
Nilichofanya juu chini
Alasiri tukutaneeee
Ooooh baby, Oooh Lady,
Wakati ulipofika,
Nilimkuta Posta,
Na kundi la wenzake,
Wakingoja matatu,
Tulikua watatu wawili,
Mchizi wangu nikafanya dili,
Akaenda kumfuata,
Akasema mi niende mwenyeweeee,
CHORUS LYRICS:
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima X 2
Yeeeeaaa Eeeehh Eeeeeeeeee eeeeh Eeeh Eeeh Eeeh

Chikuzee (Oooh baby)
Chikuzee (Oooh Lady)
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com