Khalid Producer Blames Fellow Producers For Not Supporting Coast Music

23/06/2014
The a Million Records CEO Khalid Producer is at it again. After many controversies from his label he came out today blaming fellow producers not supporting coast music. He claimed that producers only support music that they have produced and do not do the same to those produced by others.
He did not forget to talk about fans too.
This is what he wrote on facebook:

"Sijawahi ona hapa mombasani msanii au producer wa studio flani akifagilia kazi za msanii mwengine kutoka studio za producer mwengine.Kinachofanyika hapa fb ni mabeshte wa yule msanii na producer wake ndio hufagilia kazi zao ku share na ku like comments zao.
Kama kweli twataka sanaa isonge mbele,hii tabia yafaa tubadili.Presenter mwenye nimeona hana ubaguzi ana share na ku comment status nyingi za wasanii ni Gates.Hivi nyinyi wengine huwa hamna macho? au ndio u superstar? au ndio utamuongezea sanaaa?
Nikiangalia wa naigeria hata wa tanzania wanafagiliana sana.labda ndio yaeleza kwanini wanatamba sana kutuliko....
Hivi hapa facebook kuna mashabiki wa ukweli? sidhani,mashabiki wa ukweli wapo nje hata hawana habari na fb.Hawa hapa ni wapambe tu...
Mimi binafsi napeana ruhusa msanii yeyote au producer ku share kazi zake kwa wall yangu,kama ni nzuri bila shaka nitazifagilia na ku share,wala haitanigharimu chochote cha ziada,au kunishusha hadhi,ila itasaidia pakubwa sanaa ya mombasani.Je wewe?????"
Share on Google Plus

About Anonymous

He is the CEO of Cityville Mombasa. Reach him on 0728622801 or gangsta6g@gmail.com